Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,414
Dah kwahiyo mkeka umechanikaMke wa mtu huyo bro na mumewe ni Baunsa mkubwa sana Duniani
Dah kwahiyo mkeka umechanikaMke wa mtu huyo bro na mumewe ni Baunsa mkubwa sana Duniani
Changamoto ya kupumua
Changamoto ya kupumua
Aisee nipo makao makuu hapa hali ni mbaya sana vifo vingi sana misiba daily Dah Tuchukue tahadhari
Tena uchane mwenyewe nadhani unamjua yule kibosile ambaye pia anachapa sana pale WWE aitwaye Triple H.Dah kwahiyo mkeka umechanika
Mkuu hata hapa Dar hakuna salama.Changamoto ya kupumua
Aisee nipo makao makuu hapa hali ni mbaya sana vifo vingi sana misiba daily Dah Tuchukue tahadhari
Jamani hali tete hadi naogopa tuzidi kuchukua tahadhari ndio cha muhimu
Amin [emoji120]Mungu atulinde [emoji120][emoji120]