myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wa saluni sokoni na dukani..
Mungu atulinde atupe afya njema 🙏🙏Siku moja ya jumatano February 17 tumeondokewa na watu wanne maarufu.
Hatujui ni kiasi gani cha watu wasio maarufu wamefariki.
Mwenyezi Mungu Tunusuru na haya majaribuView attachment 1705390