Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa jamani bado tu mods wamemng'ang'ania?
2.5120426844290627E18.jpg
 
Tangaza watu waanze kuvaa barakoa, waepuke mikusanyiko isiyo ya lazima, sanitizer kila mahali na kufuata masharti yote ya lazima. Dunia nzima inalia. Waisraeli wenyewe taifa la Mungu wameamua kuchanja watu wao wote na sasa maambukizi yameshuka kwa asilimia 94. Maombi peke yake bila kuchukua tahadhari ni kama kumjaribu Mungu...
IMG-20210219-WA0006.jpg
 
View attachment 1706418
Hali ni mbaya Mungu atulinde
 
Mk

Mkuu...
 
Back
Top Bottom