BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hali ni mbaya Mungu atulindeTangaza watu waanze kuvaa barakoa, waepuke mikusanyiko isiyo ya lazima, sanitizer kila mahali na kufuata masharti yote ya lazima. Dunia nzima inalia. Waisraeli wenyewe taifa la Mungu wameamua kuchanja watu wao wote na sasa maambukizi yameshuka kwa asilimia 94. Maombi peke yake bila kuchukua tahadhari ni kama kumjaribu Mungu...
View attachment 1706418
....utatupa taarifa Ziraili akimpitia......Kupendwa raha sana!View attachment 1705953
Wa ukweli
Mkuu...Tangaza watu waanze kuvaa barakoa, waepuke mikusanyiko isiyo ya lazima, sanitizer kila mahali na kufuata masharti yote ya lazima. Dunia nzima inalia. Waisraeli wenyewe taifa la Mungu wameamua kuchanja watu wao wote na sasa maambukizi yameshuka kwa asilimia 94. Maombi peke yake bila kuchukua tahadhari ni kama kumjaribu Mungu...
View attachment 1706418
Huko aliko nadhani kakaa hivi kumwangalia "Mod mkata majina"
Mkuu huko nyuma uliwahi kusema unaishi karibu na hospitali na ulikuwa unashuhidia Ambulance zikikimbiza watu huko.Hali ni mbaya Mungu atulinde
Ni nadra sana kwa yeye kuwa upande mwingine, kwa hili yeye ni shuhuda. Tuchukue tahadhari.Mk
Mkuu...
Kweli...Ni nadra sana kwa yeye kuwa upande mwingine, kwa hili yeye ni shuhuda. Tuchukue tahadhari.
Mungu ni mwema [emoji120]