Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Buriani Waziri Sonyo
FB_IMG_1614145572664.jpg
 
huyu mzee anapiga kwenye mshono:
======================
Mchoraji wa daraja hili la Kijazi interchange ni Mhandisi Mfugale ndiye mtaalamu wa madaraja katika nchi hii hata lile la Mkapa alichora yeye ndio maana ninamuombea sana huyu Mhehe asije akafa mapema wala akajinyonga maana hawa wahehe wakikasirika wanajinyonga,” Rais John Magufuli
 
Ninategemea kuvunja Jiji la Dar es Salaam ili tutengeneze jiji la eneo fulani tunaweza kuifanya Ilala ndio iwe jiji itategemea na namna mambo yatakavyokwenda lakini kuwa na madiwani ambao wanakaa hapa juu wanachangiwa fedha na hawana miradi ya maendeleo hili nitalikataa,” - Rais John Magufuli
 
neno corona linamjaza kichefuchefu mdomoni mwake
===================

Hatutaki visingizo vya kuchelewesha kazi, Wizara ya ujenzi ukikuta mkandarasi anazungumza amechelewa kwasababu ya corona mtoe akakoromee hukohuko ili kazi zetu ziende, hatuwezi tukawa tumeweka fedha halafu watu watafute visingizo na hili ndio limetusaidia kwani miradi hii yote ingetafutiwa visingizo vya kila aina huo ni wizi na utapeli ambao unaweza ukafanywa na baadhi ya wakandarasi,” – Rais John Magufuli
 
"Tunataka Manispaa moja katika jiji la Dar es Salaam ndio ipandishwe hadhi iwe jiji halafu nyingine ziwe manispaa, Jiji la Dar es Salaam litaendelea kuwepo lakini tutachukua eneo fulani na ninafikiri Ilala inafaa kuwa jiji maana ndio ipo katikati, Ubungo itasubiri maana barabara bado hazijategenezwa,” – Rais John Magufuli
 
Back
Top Bottom