neno corona linamjaza kichefuchefu mdomoni mwake
===================
Hatutaki visingizo vya kuchelewesha kazi, Wizara ya ujenzi ukikuta mkandarasi anazungumza amechelewa kwasababu ya corona mtoe akakoromee hukohuko ili kazi zetu ziende, hatuwezi tukawa tumeweka fedha halafu watu watafute visingizo na hili ndio limetusaidia kwani miradi hii yote ingetafutiwa visingizo vya kila aina huo ni wizi na utapeli ambao unaweza ukafanywa na baadhi ya wakandarasi,” – Rais John Magufuli