Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtambwe mwendao, kwa wetu Sharifu, kumrehemea
Mwonesheni nyoyo, zilivyo kunjufu, kwake maridhia
Zaidi ya hayo, mtoweni khofu, awe atambuwa –
Kwa yote ambayo
Katuwacha nayo
Chetu kiapiyo, ni kuyaandama, na yakatimia!

Mohammed Khelef Ghassani
24.02.2021 - Bonn
View attachment 1711282
Mambo mawili yanayonivutia sana katika Uislamu:

1. Kuoa wake zaidi ya mmoja [emoji818][emoji818][emoji818]

2. Kuzikwa haraka ukiRIP [emoji818][emoji818][emoji818]

Ikija kutokea nikaslimu basi ni kwa ajili ya mambo haya mawili. Jambo la tatu la mabikra 72 akhera sina uhakika nalo. Nikieleweshwa vyema nalo nitaliongeza kuwa sababu ya tatu kuu...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wale wale toka mkoa ule ule,
View attachment 1711261
Ushindweee !!!

TRM Tulishaizika rasmi.
1473394723762.jpg
 
Mtambwe mwendao, kwa wetu Sharifu, kumrehemea
Mwonesheni nyoyo, zilivyo kunjufu, kwake maridhia
Zaidi ya hayo, mtoweni khofu, awe atambuwa –
Kwa yote ambayo
Katuwacha nayo
Chetu kiapiyo, ni kuyaandama, na yakatimia!

Mohammed Khelef Ghassani
24.02.2021 - Bonn
View attachment 1711282
Binadamu yaani dah!

Uwe bilionea

Uwe na ma PhD

Uwe na madaraka makubwa kupindukia

Utese na kuua watu...

...mwisho wake ni hapa. Hata wakuweke kwenye jeneza ghali namna gani. Na wakuzike kwenye piramidi kama mafarao wa Misri...

Mwisho wake ni hapa. Tuishi vyema na watu. Tutende mema...Aaaargh !!!
 
Sielewi tatizo nini wewe ni mtu wa pili sasa kuniambia hivyo. Hii kitu yangu ninayotumia ni latest version na ina miezi miwili tu. Mimi naziona na pia hata zile zenye video naweza kuzisikiliza hata kwenye computer yangu.
Tweet zako kwangu hazionekani ila natwanga likes tu. Ila najua lazima zitakuwa ni za moto kwa Lumumba Republic....
 
Sielewi tatizo nini wewe ni mtu wa pili sasa kuniambia hivyo. Hii kitu yangu ninayotumia ni latest version na ina miezi miwili tu. Mimi naziona na pia hata zile zenye video naweza kuzisikiliza hata kwenye computer yangu.
Yawezekana ni tatizo la hii TECNO ninayotumia. Siyo ishu sana. Nikitaka kuziona nitatumia website na huko kila kitu kinaonekana kinyume na hii app.
 
Back
Top Bottom