BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Poleni sana. Siasa za Zanzibar hazitakaa ziwe sawa bila Maalim. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]hasahauliki
kwa yake mahaba
tulopata kwake
huzuni ni dhiki
ni kubwa si haba
kuondoka kwake
Mambo mawili yanayonivutia sana katika Uislamu:Mtambwe mwendao, kwa wetu Sharifu, kumrehemea
Mwonesheni nyoyo, zilivyo kunjufu, kwake maridhia
Zaidi ya hayo, mtoweni khofu, awe atambuwa –
Kwa yote ambayo
Katuwacha nayo
Chetu kiapiyo, ni kuyaandama, na yakatimia!
Mohammed Khelef Ghassani
24.02.2021 - Bonn
View attachment 1711282
Binadamu yaani dah!Mtambwe mwendao, kwa wetu Sharifu, kumrehemea
Mwonesheni nyoyo, zilivyo kunjufu, kwake maridhia
Zaidi ya hayo, mtoweni khofu, awe atambuwa –
Kwa yote ambayo
Katuwacha nayo
Chetu kiapiyo, ni kuyaandama, na yakatimia!
Mohammed Khelef Ghassani
24.02.2021 - Bonn
View attachment 1711282
Tweet zako kwangu hazionekani ila natwanga likes tu. Ila najua lazima zitakuwa ni za moto kwa Lumumba Republic....Unafiki kitu kibaya sana.
[emoji849][emoji849][emoji849]Fundi maiko ananifurahisha sana hataki kuigwaView attachment 1711284
Tweet zako kwangu hazionekani ila natwanga likes tu. Ila najua lazima zitakuwa ni za moto kwa Lumumba Republic....
Yawezekana ni tatizo la hii TECNO ninayotumia. Siyo ishu sana. Nikitaka kuziona nitatumia website na huko kila kitu kinaonekana kinyume na hii app.Sielewi tatizo nini wewe ni mtu wa pili sasa kuniambia hivyo. Hii kitu yangu ninayotumia ni latest version na ina miezi miwili tu. Mimi naziona na pia hata zile zenye video naweza kuzisikiliza hata kwenye computer yangu.