capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Its bed time I know. GdnytIt's been awhile. You are missed to Coco!
You too!Its bed time I know. Gdnyt
Thank You Love,You too!
[emoji120]Wakulima woote poleni sana...
[emoji120][emoji120][emoji120]AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikitulia nitaipitiasisi walalahoi bado tunaendelea na tafakari juu ya maisha ya almarhum, kipindi hiki yatasemwa mengi juu yake kutoka ndani ya vifua vya wanadamu
=================
BURIANI KAKA YANGU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD
SEHEMU YA KWANZA.NILIVYOKUTANA NA MAALIM SEIF
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, 19 Februari 2021.
Nimepokea kwa masikitiko, simanzi na huzuni kubwa sana taarifa ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa ACT-WAZALENDO; Kilichotokea Jumatano Februari 17, 2021.
Mara ya kwanza nilikutana na Maalim Seif Sharif Hamad mwezi Julai au Agosti 1973, msikitini, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Nimesoma maelezo ya profesa.Wakati wa msiba wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Maalim aliniomba na nikakubali, nijumuike na viongozi wa CUF; mimi nikiwa mwanachama wa kawaida,kwenda kuupokea mwili wa Mwalimu.
Rais Mkapa alituona na kuonyesha ishara ya kushukuru kuwepo kwetu.
Makala inayofuata nitajadili kuchaguliwa kwangu kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Maalim Seif kuwa Katibu Mkuu wa CUF na matokeo ya Uhaguzi wa mwaka 2000.
=======================
siasa ziliwafarakanisha malegendary wawili
View attachment 1711791