Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbali na kutafuta info Google aisee sijui lo lote. Ianzishie uzi kwenye jukwaa la madaktari bila shaka utapata habari sahihi. Pole sana na Mungu Ampe uponyaji huyo mtu wako wa karibu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]So Tanzania hakuna huduma hii??
Ni mtu wangu wa karibu anaihitaji sana hii huduma. Naomba niangalizie tafadhali[emoji3577]