Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wa Yanga wakiwa darasani na benchi lao la ufundi ili kujifunza kitu, kwenye mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya wenyeji Simba sport Club na Al Ahly ya Misri.
Darasa hilo lilifanyika kwenye Klabu ya timu hiyo mtaa wa Jangwani Kariakoo Dsm
 
  1. hiyo namba 2 wenyewe ni wapemba wanaoishi kisiwa cha pemba...kama utakufa saa tano asubuhi basi utazikwa saa 7 mchana... kama utakufa saa 12 jioni utazikwa saa 2 usiku...... wapemba wanaoishi pemba hawana mbwembwe za kulaza maiti.
Safi sana. Katika Uislamu hili suala limekaaje kwa ujumla. Naonaga hakuna mbwembwe yaani maiti unabebwa na wenzio mzobe mzobe kwenye jeneza/mkeka simple tu kwenda kuzikwa. Mazishi nayo siku hizi yamegeuka kuwa sehemu ya kuonyeshea ufahari na watu wanachukua mpaka mikopo benki ili kununua majeneza ya bei mbaya na tafrija za mazishi. Ujinga!

Mi ningependa nizikwe simple kabisa kama kwa hao Wapemba. Itabidi kuandika wosia mapema [emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…