D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Alilazimishwa kuingia kwenye siasa 1984, baada serikali ya Muungano kutoa Waraka wa Serikali (white paper) na kutakiwa wananchi watoe maoni yao juu ya hali na matatizo ya Muungano. Makatibu wakuu wa Serikali ya Zanzibar ya wakati huo akiwemo yeye walipotoa maoni dhidi ya Muungano walisingiziwa kwamba wamefanya kinyume na walivyoagizwa na baadhi yao wakapewa maonyo makali na baadhi kuteremshwa vyeo.
5. Aliteremshwa cheo kutoka wadhifa wa Katibu Mkuu hadi mwalimu wa kawaida kwa tangazo la Rais, ende kusomesha skuli ya Mikunguni
5. Aliteremshwa cheo kutoka wadhifa wa Katibu Mkuu hadi mwalimu wa kawaida kwa tangazo la Rais, ende kusomesha skuli ya Mikunguni