Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliomba msaada kwa askari wa FFU, ili aje kunisalimia ndani ya jengo la Mahakama Vuga, na kwa bahati mbaya alikua matatizo ya usikivu (uzito wa kusikia), askari yule akamuamrisha aondoke na bila kuelewa kwamba ana uziwi wa kusikia, akampiga kofi na kuanguka bila mafanikio ya kunisalimia na huo ukawa ndiyo mwisho wa kumuona mzee wake huyo. Muda si mrefu alifariki wakati Juma Duni bado akiwa Jela. Alifariki dunia na hakupata nafasi ya kumzika mzee wake.
Ndiyo maana huko Zanzibar watu bado wana vinyongo
 
Ndiyo maana huko Zanzibar watu bado wana vinyongo
vinyongo haviwezi kuondoka kwa urahisi kwa sababu ni vigumu sana kwa mwanadamu kuyasahau madhila aliyoyapitia.
unafukuzwa kazi kwa sababu ya siasa
unanyimwa kazi kwa sababu ya siasa
unapigwa ukiwa ndani mwako na mtoto wa fulani kwa sababu ya siasa
 
Nakuona fundi
FB_IMG_1614421033302.jpeg
 
vinyongo haviwezi kuondoka kwa urahisi kwa sababu ni vigumu sana kwa mwanadamu kuyasahau madhila aliyoyapitia.
unafukuzwa kazi kwa sababu ya siasa
unanyimwa kazi kwa sababu ya siasa
unapigwa ukiwa ndani mwako na mtoto wa fulani kwa sababu ya siasa
Lakini ukipitia hii historia ya Juma Duni unaweza kutokwa machozi.
Maana mbali ya manyanyaso aliyopitia yeye mwenyewe, mzee wake pia amepitia machungu mazito
 
Lakini ukipitia hii historia ya Juma Duni unaweza kutokwa machozi.
Maana mbali ya manyanyaso aliyopitia yeye mwenyewe, mzee wake pia amepitia machungu mazito
halafu mjomba wake ndiye salmin amour......
aliwahi kuulizwa kwa nini humuachii juma duni, akasema yeye na wenzake si mapapai kama yataoza gerezani
 
vinyongo haviwezi kuondoka kwa urahisi kwa sababu ni vigumu sana kwa mwanadamu kuyasahau madhila aliyoyapitia.
unafukuzwa kazi kwa sababu ya siasa
unanyimwa kazi kwa sababu ya siasa
unapigwa ukiwa ndani mwako na mtoto wa fulani kwa sababu ya siasa
Lakini dhamiri yangu bado inanifanya kila siku niamini kwamba wanasiasa wote wa Zanzibar kama wangeamua kwa dhati na kuachana na ubinafsi mwaka 1984 mgepata kitu kizuri kisiasa.
Lakini ubinafsi uligharimu Zanzibar na kila mwanasiasa alionja machungu ya usaliti
 
Back
Top Bottom