moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hizi habari hizi..Kurasa za mbele magazeti ya leoView attachment 1713656
Asante sana Daemusinmbona the oval yenyewe ni series na si movie kama ulivyogusia hapo mwanzo.
au majina yanafanana
mfano kwangu mimi
- kama unatumia window 10 nenda kwenye playstore yao na upakue telegram then apply procedures zake
- ifungue, kwenye search andika hicho unachokihitaji
- chagua channel, download episode uitakayo
View attachment 1713551
Zina kipi kipya mzee?Hizi habari hizi..
nitakunywa wa shilingi 3000Daemusin na The Happiness nawashukuru sana nimefanikiwa kudownload nipo hapa na enjoy ππ. Agizeni urojo naja kulipia.
ndio huuMchana wa kula..
Daemusin na The Happiness nawashukuru sana nimefanikiwa kudownload nipo hapa na enjoy ππ. Agizeni urojo naja kulipia.
Sawasawa nimetumia telegramnitakunywa wa shilingi 3000
============
- yai =1
- mbatata = 300
- kachori = 300
- bagia/badia = 100
- chipsi za muhogo = 300
- nyama choma = 500
umetumia telegram au torrent?
Agiza utakachoshiba nitalipia πππ Urojo mie sitashiba