BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sana aseeKitambo sana
sielewi ni upande upi uliotangulia mwanzo kati ya dini au imani na utamaduni wa eneo husika linapokuja suala la mazishi na mambo mengineyo yanayomuhusu mwanadamu.Safi sana. Katika Uislamu hili suala limekaaje kwa ujumla. Naonaga hakuna mbwembwe yaani maiti unabebwa na wenzio mzobe mzobe kwenye jeneza/mkeka simple tu kwenda kuzikwa. Mazishi nayo siku hizi yamegeuka kuwa sehemu ya kuonyeshea ufahari na watu wanachukua mpaka mikopo benki ili kununua majeneza ya bei mbaya na tafrija za mazishi. Ujinga!
Mi ningependa nizikwe simple kabisa kama kwa hao Wapemba. Itabidi kuandika wosia mapema [emoji1545][emoji1545]
mbona the oval yenyewe ni series na si movie kama ulivyogusia hapo mwanzo.Kwenye telegram natafutaje?