Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Wewe ni mtu muhimu kwangu, hilo ulifahamu, nimekuwa mwanafunzi kwako, nimefaidi elimu kubwa kwako japo nyingine sitaitumia maishani lkn imenipa ufahamu na uelewa wa mambo..asante kaka[emoji120] [emoji120] [emoji120] am humbled