BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
PoleniKwetu usiku umeme unapotea na kurudi baadae sana
Pole Sana Ninge, Mungu amlaze Baba mahali pema peponi..Amen[emoji120]Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..