paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
Sawa
Hahhaha
Halafu watakuwa wanapenda sana tuwabembeleze wakisusa
Usikute wanajisemea ebu ngoja niwatetemeshe kidogo wanibembeleze wanasikia raha sana
Pole pole nyingi sana ninge. Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi. AmenNipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..
Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..
Pole sana Anko, pole kwa magumu yote. Mungu akupe moyo thabiti.Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..
Wa sokoni na dukani poleni..
Poleni wa daladala na bajaji..
Mnaoendelea na kazi poleni ..
.
Wakulima woote poleni
Wasafiri mfike salama..
Poleni walezi wa familia..