Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ninge ana jezi mpya
Wapi Ningendako? Kabadili ID au ni ban? Simpati...
Wapi Ningendako? Kabadili ID au ni ban? Simpati...
Aisee..Real Madrid wako tayari kumuuza mchezaji wao wa safu ya kati na nyuma Mfaransa Raphael Varane kwa Manchester United baada ya kukubali kiungo huyo aliye na umri wa miaka 27, hatasaini mkataba mpya uwanjani Bernabeu. (Manchester Evening News)
Wakishua breakfast kwa biskut daaaahhhhNipo bro sema majambo tu yananikamata ndio mana napotea hapa ndani, siwezi badili hii ID naipenda sana
Nayakubali sana haya..Faida za kiafya za kula maboga
boga lina virutubisho kama vitamini A, C, E na B. pia kuna madini ya chuma, potassium na manganessium. Pia boga lini protini na fati.
Kumbe..Ninge ana jezi mpya
Kumbe..
Mtag basi wakishua
Safii
Doh 😀 uhuru uliotolewa na Melo sasa ni shidaAlikua franklinsaint najaribu simuoni sijui kakimbilia wapi tena