myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh..Yawezekana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Duh..Yawezekana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nilipata homa kali ya mafua na kikohozi, nikahisiwa covid. Nikapewa likizo ya lazima kutoka kituoni ili nisije ambukiza wengine pia na mm kuambukizwa zaidi [emoji3][emoji3][emoji3]Pole sana, ulikuwa unaumwa nini?
Bado hajakamilisha taratibu za kunichukua upya[emoji2]Mungu ni mwema bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Huyo mzee wako wa Kinyaki sasa ni full magego anahondomola tu. Bakia salama dadangu...
Atalipa mahari upya [emoji3][emoji3][emoji3]Dada. Nini tena hiki? Unakwenda kwa huyu huyu "tapeli" aliyetudhulumu mahari? Jamani? Why? Ni Fenesi? [emoji51][emoji51][emoji51]