myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
Jiraniiii....Nshafunga PM😂😂😂😂😂😂😂
Kwema bro, sema tupo kwenye msongo wa mawazo kutokana na changamoto iliyopo Duniani kwa sasaEeh mkuuu!!!
Acha tu bro majambo yanakamata sana
Kwema lakini?
Sawasawa mkuuHuku sasa kuna chanjo tatu.
1. Pfizer (ndiyo ilianza)
2. Moderna (ya pili)
3. Johnson & Johnson (imeidhinishwa wiki jana).
Astrazeneca inasemekana hawajaomba idhini ya chanjo yao. Lakini pia nadhani ni kwa kuwa chanjo hiyo efficacy yake siyo kubwa kuliko zingine. Na ndiyo imeonyeshwa kuwa haiwezi kupambana na variants hizi mpya za COVID 19. Ndiyo waliyoagiza Afrika Kusini wakaishia kula hasara.
Mimi nitachanjwa hii ya Johnson & Johnson. Ni sindano moja tu na haijatumia hii teknolojia mpya ya kuchakachua DNA ya kirusi iliyotumika kwa mara ya kwanza kutengenezea chanjo za Pfizer na Moderna.
Nitumie anuani ya posta PM. Niko siriazi bro...Yah! Mungu ni mwema sana bro mambo yanasogea kwakweli....
Ukinitumia itakuwa poa sana kiongozi maana ni kitambo sasa.....
[emoji233][emoji231][emoji207][emoji233][emoji243][emoji207][emoji243][emoji233][emoji207][emoji231][emoji231][emoji207][emoji238][emoji233][emoji243]Dada. Nini tena hiki? Unakwenda kwa huyu huyu "tapeli" aliyetudhulumu mahari? Jamani? Why? Ni Fenesi? [emoji51][emoji51][emoji51]
Nimekuelewa kamanda. Sitachanjwa. Nitapiga nyungu, malimau na tangawizi kwa sana. Nikizidiwa Bupiji, Covidol na NIMRICAF zipo. Tuko pamoja kamanda!Kamanda Usichanjwe, maana mkuu stone aliwaonya wa TZ popote walipo wasikurupukie chanjo maana Mabeberu siyo watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mungu ni mwema ndugu yangu. Heri ya mwaka mpyaHeshima yako ndugu yetu ...
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji233][emoji231][emoji207][emoji233][emoji243][emoji207][emoji243][emoji233][emoji207][emoji231][emoji231][emoji207][emoji238][emoji233][emoji243]
Nsha lipa longi taimu kitambo mbona [emoji3][emoji3]
Za kuambiwa changanya na za kwako... JK.Nimekuelewa kamanda. Sitachanjwa. Nitapiga nyungu, malimau na tangawizi kwa sana. Nikizidiwa Bupiji, Covidol na NIMRICAF zipo. Tuko pamoja kamanda!
[emoji125][emoji125][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1716749
Pole sana shemeji. Nilikuwa naunga mkono kitashtiti (satire) hoja ya bilionea wetu wa madini papa Mo...Za kuambiwa changanya na za kwako... JK.
Kwa haya mapito hata kama itakuwa ya kuchanjwa kwa shoka nipo tayari. Cha moto nimekiona.
Ahsante Mungu