Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akili za kuambiwa changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20210303_022826_322.jpg
 
Usinitetee shemeji. Hata mimi naona kuna elements fulani za ulast born ninazo. Nikiibua pisi kali hata kabla sijaiambia cho chote utasikia tu inaniambia "We SYB lazima tu utakuwa last born wewe. Si kwa uromantiki huu". Sasa huwa sielewi kama hii ni sifa chanya ya kujivunia au ni dongo [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila ulast born jamani raha nyie acheni tu. Kufichiwa nyama na mapochopocho mengine. Kutopigwa na kufanyishwa mikazi migumu...Ooooh RIP my dia mama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani

Tuwaombee Nafsi zao zipumzike mahali pema Peponi [emoji120]
 
Back
Top Bottom