ANACHOTAKIWA KUFANYA MHUSIKA MWENYEWE BAADA YA KUWA KTK HALI HIYO YA KUKATA TAMAA
Uzuri wa hali hii ni kwamba,mhusika mwenyewe anaweza au anakuwa na uwezo wa kuji_control ingawa si rahisi na si kila mtu anakuwa n uwezo wa kufanya hivyo,ila leo nitakupa njia ambayo inaweza kukusaidia wewe kukuvusha ktk hali au wakati huo.Baadhi ya wanafalsafa duniani wamejaribu kutoa misemo mbalimbali ya kuwasaidia watu walio ktk hali ya kukata tamaa,na imefahamika kuwa njia nzuri ya kumpa mtu nguvu ya kusonga mbele ni maneno ya kishujaa na ya kutokata tamaa pindi ukutwapo na wakati mgumu,ila kwa leo acha nikupe huu.