Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Leo mko safi full story kesho wanafunga chapter yako. End of the story
Ukimpata utamsalimia sana, kitambo sana
Nafurahi kukuona tena D
Missing you....
Nauliza hivi, hao ulio wataja ni woooote wapo hivyo?Vilast born vinadeka kweli utafikiri mimba zao zilitungiwa kwenye maini
Sawa D nitazingatia hiliZitamfikia, usijaliii....
Karibu D, usiwe unapotea sana kiasi cha kuuliziwa na kina SHIMBA YA BUYENZE
Umefika na kuondoka ghaflaKD was here..... [emoji871]