Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nakutumia PM mpendwa. Na wewe ufanya vivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]Tupinge mpendwa naweka naomba uweke yako nitafurahiiii
Nakutumia PM mpendwa. Na wewe ufanya vivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]Tupinge mpendwa naweka naomba uweke yako nitafurahiiii
Bila shaka nitatenda hivyohivyoNakutumia PM mpendwa. Na wewe ufanya vivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hiyo tukifikisha miaka 70+ ndiyo tunanyimwa ulaji?juzi moja nilikaa kibaraza cha kahawa kupata tetesi za mrithi wa seif (kama kawaida jina la othman lilitajwa zaidi).
- pengine umri wake, duni ana miaka 70
alikuwepo kiongozi mmoja wa ACT alisema hivi juu ya juma duni:
sasa sijui kama kuna ukweli wowote au ni maneno ya vibarazani
- kwa sisi tunayemfahamu juma duni ana chembe chembe za ubaguzi wa upemba na unguja, kama atachaguliwa yeye itakuwa ni tatizo hata huku chini
- juma duni alishaonywa zaidi ya mara mbili na maalim seif juu ya tabia hiyo
- ilifika hatua maalim aliitisha mkutano wa wapemba na waunguja kwa nyakati tofauti (kwa viongozi tu wa chama)
- ndio maana hata kipindi kile aliletwa bara awe mgombea wa makamo wa raisi wa lowassa ili kuepusha ujinga ujinga.
Ati ni kweli mwaka 1994 ulianza form one kama anavyodai mbunge wa Raha Leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unamiliki watoto wangapi hivi sasa, maana ndiyo swali la msingi wa mbunge wetu kwa spika[emoji23][emoji16]
bado sijaiamini kauli yako ya kuwa na miaka 28 mwaka 1972Kwa hiyo tukifikisha miaka 70+ ndiyo tunanyimwa ulaji?
Kwani tunakwenda kufanya usajili wa jeshiVipimo 9 ambavyo angalau unashauliwa kuvipima kabla ya kusaini cheti cha ndoa.
1. HIV
2. Hepatitis B
3. Hepatitis C
4. Other STI's
5. Genotype
6. Blood grouping and Rhesus factor
7. Fertility profile
8. Chronic medical conditions
9. Sickling screen Test
Jirani🤣🤣🤣Vilast born vinadeka kweli utafikiri mimba zao zilitungiwa kwenye maini
Kweli kabisa..Most people don't love you, they just love what you can do for them.
Sawa, amekusikia muhenga .wenzako DaemusinNini watoto nipo zama za wajukuu wanne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]bado sijaiamini kauli yako ya kuwa na miaka 28 mwaka 1972
shimba awe na miaka 78,[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kupata hiyo miaka, hata 55 hajagusa[emoji23]shimba awe na miaka 78,