Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Vilast born vinadeka kweli utafikiri mimba zao zilitungiwa kwenye maini
[emoji120][emoji120]Kilimo ni uti wa mgongo wa Kijiji chetu. Wakulima poleni sana
AminMungu awaponye wagonjwa wote... [emoji120] [emoji120]
Uko sahihi. Hata mimi siendi mahali bila barakoa tena nina N95 kabisa. Hii kitu inatupukutisha sana sisi wahenga aisee. Kwenye msongamano navaa ya kawaida ndani halafu juu N95. Na Lysol yangu ya kupuliza na wipes. Na kuosha mikono na social distancing. Nikiipata niipate kwa bahati mbaya lakini siyo kizembe. Mungu Aendelee kutulinda huku nasi tukitumia vyema akili alizotupa kwa kujikinga na kuchukua tahadhari. Tutavuka tu [emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bado mdogo sana, ni kama wewe tu, atapata mtoto akikua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
😅😅aii ni venye hunipumzishi🙆♀️Auntie mzuri mzuri kama couple za she wouldnever know .miss u too
Siku utakapo weka yako mpandwa nami naweka yangu.Umechanganya majukwaa mpendwa. Huku siyo kwenye kuselfika - ambako nako hujaweka hata picha yako ya kisigino. We kazi kuchochea wenzio tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Ndiyo napata. Na kwa vile sikai hapo kwa muda mrefu siyo ishu kihivyo. Na hii nafanya kwenye misongamano tu ambapo siyo rahisi kuwa na social distancing. Kwingineko N95 moja inatosha. Tatizo ni uhenga Esta...na hapa kanisani ninaposali kulikuwa na outbreak kweli kweli wazee kibao wameondoka...Extremely sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Duh sasa hapo bro unapata hewa kweli?
Wewe huyu? Naweza kuweka yangu halafu huyoo ukapotea mazima hata miezi mitatu. Ukija kurudi unarudi na kauli mbiu yako ile ile "chati na picha wapendwa". Kabisa huaminiki yaani [emoji16]Siku utakapo weka yako mpandwa nami naweka yangu.
Tupinge mpendwa naweka naomba uweke yako nitafurahiiiiWewe huyu? Naweza kuweka yangu halafu huyoo ukapotea mazima hata miezi mitatu. Ukija kurudi unarudi na kauli mbiu yako ile ile "chati na picha wapendwa". Kabisa huaminiki yaani [emoji16]
Singida wamesahau ya Morogoro ...View attachment 1714724