myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana wa kula unapita...
Aisee..Tunafanya ukarabati wa jengo letu.
Tawi letu moja la Mikocheni ndiyo wanaopaka rangi ya jengo.
Kwa sasa tuna timu nne, U17, U20 na na timu ya Wasichana tunataka wakae hapa mara baada kumalizia ukarabati.
Profesa Mshindp Msolla
Mwenyekiti YangaView attachment 1714797View attachment 1714798
Auntie mzuri mzuri kama couple za she wouldnever know .miss u tooDah, Yukwapi aunt Numby, nimemmis kwel kweli