moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Singida wamesahau ya Morogoro ...
Jamaa ameshaula.hii taarifa niliipata kwa mzee wangu mapema sana
Jamaa ameshaula.
Nilidhani atapewa Juma Duni Hajji.
Kwanini hawajampa Duni
hiyo ni dalili moja wapo ya kukosa utu na akhlaq.Singida wamesahau ya Morogoro ...View attachment 1714724
Ikulu ya magogoni walikuwa hawamtaki huyu jamaahii taarifa niliipata kwa mzee wangu mapema sana
kwa nini wamekubali?Ikulu ya magogoni walikuwa hawamtaki huyu jamaa
Lisemwalo lipo..juzi moja nilikaa kibaraza cha kahawa kupata tetesi za mrithi wa seif (kama kawaida jina la othman lilitajwa zaidi).
- pengine umri wake, duni ana miaka 70
alikuwepo kiongozi mmoja wa ACT alisema hivi juu ya juma duni:
sasa sijui kama kuna ukweli wowote au ni maneno ya vibarazani
- kwa sisi tunayemfahamu juma duni ana chembe chembe za ubaguzi wa upemba na unguja, kama atachaguliwa yeye itakuwa ni tatizo hata huku chini
- juma duni alishaonywa zaidi ya mara mbili na maalim seif juu ya tabia hiyo
- ilifika hatua maalim aliitisha mkutano wa wapemba na waunguja kwa nyakati tofauti (kwa viongozi tu wa chama)
- ndio maana hata kipindi kile aliletwa bara awe mgombea wa makamo wa raisi wa lowassa ili kuepusha ujinga ujinga.
Numbisa amekuwa hana utofauti na marehemu christopher mtikila
- majibizano yeye
- gerezani yeye
- ban yeye
- mchungaji yeye
- diamond yeye
- sepetu yeye
- katerero yeye (sauti ya magufuli), sijajua maana yake mpaka leo
- siasa yeye
- tamu za numbi yeye
Kuna kile cha gb 10 kinaanza saa tano usiku ukiwa na net kasi unawahi kulalamakosa ya kiufundi na airtel
View attachment 1714739
wewe pekee ndiye uliye nielewa.Kuna kile cha gb 10 kinaanza saa tano usiku ukiwa na net kasi unawahi kulala
😂😂😂😂😂😂naona ofa zaidi ipo kwa nunua kupitia airtel money sasa sijui huko wanatoa gb ngap maana ukinunua unaona airtel money wameweka mabano neno zaidiwewe pekee ndiye uliye nielewa.
ngoja nitengeneze modem yangu.
nianze kunywa tena sojuuuu
nishanunua laini yao😂😂😂😂😂😂naona ofa zaidi ipo kwa nunua kupitia airtel money sasa sijui huko wanatoa gb ngap maana ukinunua unaona airtel money wameweka mabano neno zaidi
nishanunua laini yao
tatizo modem imeharibika