Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara nyingi sana kuna ukweli ndani ya neno “natania” na kuna siri nzito ndani ya neno “sijui” na kuna maumivu makali sana ndani ya neno “niko sawa”
Duh...Kama huna hela ukijikwaa unaweza kosa hata sehemu ya kudondokea