Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Attachments

  • IMG_20210301_104914.jpg
    IMG_20210301_104914.jpg
    22.1 KB · Views: 10
"Hapo mwanzo, kabla ya maridhiano watu wenye nasaba za upinzani walikuwa hawapewi Zan IDs. Kulikuwa na ubaguzi. Lakini sasa, serikali ya Mwinyi imetoa onyo kwa Sheha yeyote atakayemnyima mtu barua kwa ajili ya kupata si tu kitambulisho bali huduma nyingine. Hii ni ishara nzuri"KC
Namuunga mkono Mwinyi kama anathubutu kumaliza ubaguzi Serikalini
 
Binafsi niliwahi kuona maoni ya watu humu jf wakitabiri kusambaratika kwa ACT kwa kukosekana Maalim
safari ndio kwanza inaanza, ngoja tusubiri hali itakavyokuwa.
laiti kama ACT wangelikuwa nje ya serikali kwa kipindi hiki cha maisha bila ya maalim seif basi wangelisambaratika kwa urahisi.

  • mbinyo wa msajili wa vyama
  • mbinyo wa jiwe
  • mbinyo wa smz, sheria nyingi za ovyo zingeliendelea kutungwa.

mwaka jana walitaka kupeleka sheria ya kuzuia mgombea aliyehudumu chama kwa chini ya miaka 2 ila wakaamua kuachana nayo kwa kasoro za kisheria (ndivyo walivyosema), lengo lao ilikuwa ni kuwazuia wahamiaji wa ACT kutoka Cuf wakiongozwa na maalim
 
Back
Top Bottom