moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwakweli tukio hilo nimeliona,hata baba na mama walikuwa hawana nia ya kuoana licha ya kwamba walikuwa majirani
ingawa nilikuwa mdogo lakini lingali linapita akilini mwangu.
Nilimshangaa sana Maalim kwa kosa lile la kiufundi ambalo amefanya wakati ule.
Nadhani mpaka anafariki lazima naye alikuwa anajutia