Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini hii ya kuvaa barakoa mmoja mmoja nayo ni hopulesi tu kwa sababu tunaambiwa barakoa inamsaidia hasa jirani yako kwa wewe kutotapanya virusi kwa wingi na umbali mrefu ukipumua au kukohoa. Kama jirani yako hajavaa na ana Korona; na mko karibu karibu wewe uliyevaa barakoa utaambukizwa tu kwa sababu virusi vya Korona ni vidogo sana na vinapenya katika mask za kawaida. Mnapunguza maambukizi kama wote mmevaa kwa sababu kila mmoja anapunguza velocity, wingi na hata umbali wa virusi vinavyoweza kuufikia. Ndiyo maana ni muhimu sana kuwa na mwongozo wa kitaifa. Wanasema Trump angeweka tu mandate ya kila Mmarekani kuvaa barakoa angeweza kupunguza zaidi ya nusu ya watu hawa laki 5 ambao tayari wameshafariki. Katika hali hii katika picha Mama Mghirwa atasalimika tu kama amevaa mask zenye upenyo mdogo kuliko wa kirusi chenyewe mf. zile za kitabibu (N95) na zingine za kiwango cha juu. This is hopeless [emoji51][emoji51][emoji51]
Sawasawa..
 
Kila mtu anataka kuombewa [emoji16][emoji16][emoji16]
2.5181781817106964E18.jpg
 
Ulichoandika Mkuu ni ukweli MTUPU! Mimi nimeshawakoromea wengi tu kwa hii tabia ya kizembe lakini siwezi kuacha kuvaa kwa kusema wengi hawavai na hivi karibuni kwa kufuata maelekezo ya Dr Fauci nikienda very high risk areas ambazo mara nyingi kuna watu wengi sana kama vile supermarkets, malls etc napiga mbili. It is very uncomfortable kuvaa mbili kwa kipindi kirefu but hey life is very precious it’s my obligation to protect myself from this deadly virus mpaka hapo atakapothibitiwa na kuwa ni kagonjwa kadogo au kuondolewa kabisa duniani.
#VaaBarakoa Mkuu.
1614535180153.jpeg

Lakini hii ya kuvaa barakoa mmoja mmoja nayo ni hopulesi tu kwa sababu tunaambiwa barakoa inamsaidia hasa jirani yako kwa wewe kutotapanya virusi kwa wingi na umbali mrefu ukipumua au kukohoa. Kama jirani yako hajavaa na ana Korona; na mko karibu karibu wewe uliyevaa barakoa utaambukizwa tu kwa sababu virusi vya Korona ni vidogo sana na vinapenya katika mask za kawaida. Mnapunguza maambukizi kama wote mmevaa kwa sababu kila mmoja anapunguza velocity, wingi na hata umbali wa virusi vinavyoweza kuufikia. Ndiyo maana ni muhimu sana kuwa na mwongozo wa kitaifa. Wanasema Trump angeweka tu mandate ya kila Mmarekani kuvaa barakoa angeweza kupunguza zaidi ya nusu ya watu hawa laki 5 ambao tayari wameshafariki. Katika hali hii katika picha Mama Mghirwa atasalimika tu kama amevaa mask zenye upenyo mdogo kuliko wa kirusi chenyewe mf. zile za kitabibu (N95) na zingine za kiwango cha juu. This is hopeless [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Siyo vijana. Wajukuu na hata vitukuu kabisa tunao humu. Ndiyo maana mi nilishaacha kutukanana humu. Unaweza kujikuta unatukanana na mjukuu wako wa fomu wani Daemusin [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti miaka 4 ijayo atatimiza miaka 30!![emoji23][emoji23]
 
Lakini hii ya kuvaa barakoa mmoja mmoja nayo ni hopulesi tu kwa sababu tunaambiwa barakoa inamsaidia hasa jirani yako kwa wewe kutotapanya virusi kwa wingi na umbali mrefu ukipumua au kukohoa. Kama jirani yako hajavaa na ana Korona; na mko karibu karibu wewe uliyevaa barakoa utaambukizwa tu kwa sababu virusi vya Korona ni vidogo sana na vinapenya katika mask za kawaida. Mnapunguza maambukizi kama wote mmevaa kwa sababu kila mmoja anapunguza velocity, wingi na hata umbali wa virusi vinavyoweza kuufikia. Ndiyo maana ni muhimu sana kuwa na mwongozo wa kitaifa. Wanasema Trump angeweka tu mandate ya kila Mmarekani kuvaa barakoa angeweza kupunguza zaidi ya nusu ya watu hawa laki 5 ambao tayari wameshafariki. Katika hali hii katika picha Mama Mghirwa atasalimika tu kama amevaa mask zenye upenyo mdogo kuliko wa kirusi chenyewe mf. zile za kitabibu (N95) na zingine za kiwango cha juu. This is hopeless [emoji51][emoji51][emoji51]
Ulichoandika Mkuu ni ukweli MTUPU! Mimi nimeshawakoromea wengi tu kwa hii tabia ya kizembe lakini siwezi kuacha kuvaa kwa kusema wengi hawavai na hivi karibuni kwa kufuata maelekezo ya Dr Fauci nikienda very high risk areas ambazo mara nyingi kuna watu wengi sana kama vile supermarkets, malls etc napiga mbili. It is very uncomfortable kuvaa mbili kwa kipindi kirefu but hey life is very precious it’s my obligation to protect myself from this deadly virus mpaka hapo atakapothibitiwa na kuwa ni kagonjwa kadogo au kuondolewa kabisa duniani.
#VaaBarakoa Mkuu. View attachment 1714232
Ijumaa niliingia Ibadani nikiwa na Barakoa, baadhi ya marafiki wamenilaumu eti nchi hii haina Corona ndiyo maana wengi wao hawajavaa.
Wiki hii inayoisha nilimpoteza rafiki, wiki 3 zilizopita pia nimempoteza mwingine mtumishi wa umma, wote ni changamoto ya kupumua.
Hali ni tete.
Kwakweli tunahitaji kauli nzito ya kimamlaka ili tubadirike na kubadirisha mazoea tuliyonayo
 
Hongera sana Mkuu bora KULAUMIWA kuliko KIFO Mkuu usiache kabisa kuvaa barakoa.

Back
Top Bottom