"His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular"
#Miaka20yaMaulidKitenge
Hii ilikuwa ndio naanza kazi ya Uandishi wa habari wakati huu ilikuwa mwaka 1998 gazeti la Majira. Tulianza kuandika kwa Computer ndogo hizi baada ya kutoka kwenye type writer aisee! Safari inaendelea hadi leo.
Dear President Magufuli,
We am fine now don't for asking! Finally, your government am accept Colona Vilus am serious for famous dead for free sympathy. Avoidable ethics medical regional borders not listen us. Infections go come go come again spreading in anachukua anaweka style.
"Ndani ya Chama, Othman Masoud amekuwa akitumika zaidi katika masuala ya ushauri. Hata wakati wa kuandaa Ilani yetu ya Uchaguzi ya uchaguzi uliyopita, ushiriki wake ulikuwa wa kiwango kikubwa sana."
@AdoShaibu
"Hakuna hata mmoja anayemtilia mashaka ndugu Othman Masoud katika msimamo wake wa kutetea maslahi na haki za Zanzibar. Hicho ndicho kilichotusukuma: msimamo wake, na si umaarufu wake".
@AdoShaibu
"Haikuwa rahisi kumpata mtu wa kuvaa viatu vya Maalim Seif kwa sababu viatu vya Maalim Seif ni vikubwa sana. Mpaka kufikia kupata jina la Othman Masoud, tulipitia mchakato wa kina sana."
@AdoShaibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.