Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Watoto wenye chini ya miezi mitatu wana dhahabu nyingi zaidi kwenye nywele zao kuliko watu wazima. Dhahabu hiyo hutokana kunywa zaidi maziwa ya Mama na huzidi mara mbili zaidi kiubora kwa dhahabu inayopatikana duniani (Ardhini).
 
Anaitwa Stephen King, ni moja ya watu hodari katika kutunga simulizi za kutisha zaidi duniani, katika maisha yake halisi hawezi kulala bila ya mwanga wa taa.

1)The Dark Tower IV: Wizard and Glass'
2)Rita Hayworth and the Shawshank
3)Redemption
4)The Dead Zone
5)The Stand
6)It
Ni miongoni mwa vitabu alivyotunga na ndiyo mtunzi pekee ambaye simulizi zake nyingi zimefanywa kuwa filamu.
 
Every mother is nice except mine" Kwa kifupi ni Eminem Kwa kiswahili maana yake ni "Mama wote ni wazuri isipokuwa wa kwangu"
Eminem ni msanii toka Marekani ambaye hana mahusiano mazuri na mama yake, kwa sababu hakumjali angali mdogo na pia mama alikuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya kitu kilichopelekea Eminem kuishi maisha magumu sana.
 
Back
Top Bottom