myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni iwe ya amani na utulivu..
Mchana wako umeenda vizuri sana [emoji111]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siwezi kuona maana macho yangu huwa yanaona habari za Madilu na msiba wa Nyerere kwa mbali sana.
😂😂😂😂😂😂😂wote hivyo hivyoNauliza hivi, hao ulio wataja ni woooote wapo hivyo?
Eee Jehova Shama mnyofoe shemeji yangu Ze Don kwenye hili kundi, hastahili hata kuguswa na mpini wa kikombe hiki[emoji120]