Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20210303-WA0006.jpeg
 
Nafurahi kukusikia bro. Natumaini kila kitu kiko salama. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sema nikutumie kaboksi kamoja. I am serious bro. Ni wiki moja tu unakapata.
Yah! Mungu ni mwema sana bro mambo yanasogea kwakweli....

Ukinitumia itakuwa poa sana kiongozi maana ni kitambo sasa.....
 
Huku sasa kuna chanjo tatu.

1. Pfizer (ndiyo ilianza)

2. Moderna (ya pili)

3. Johnson & Johnson (imeidhinishwa wiki jana).

Astrazeneca inasemekana hawajaomba idhini ya chanjo yao. Lakini pia nadhani ni kwa kuwa chanjo hiyo efficacy yake siyo kubwa kuliko zingine. Na ndiyo imeonyeshwa kuwa haiwezi kupambana na variants hizi mpya za COVID 19. Ndiyo waliyoagiza Afrika Kusini wakaishia kula hasara.

Mimi nitachanjwa hii ya Johnson & Johnson. Ni sindano moja tu na haijatumia hii teknolojia mpya ya kuchakachua DNA ya kirusi iliyotumika kwa mara ya kwanza kutengenezea chanjo za Pfizer na Moderna.
Kamanda Usichanjwe, maana mkuu stone aliwaonya wa TZ popote walipo wasikurupukie chanjo maana Mabeberu siyo watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom