Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United itasikiliza ofa za kumuuza kipa wake David De Gea mwisho wa msimu huu huku mkufunzi Ole Gunnar Solskjaer akiwa tayari kumfanya Dean Anderson kuchukua nafasi ya kwanza ya mlinda lango.. (90min via Mail)
 
Crystal Palace inapanga uhamisho wa kiungo wa kati wa Sheffield United John Lundstram, 27, na mwenzake wa Chelsea Conor Gallagher, 21, huku wakijiandaa kubadilisha kikosi hicho mwisho wa msimu huu. (Express)
 
Kiungo wa kati wa Schalke na Uhispania Omar Mascarell, 28, ameonekana kama mchezaji anayelengwa na klabu ya Wolves mwisho wa msimu huu. (Caught Offside)
 
Barcelona imeafikia makubaliano ya maneno na klabu ya Bayern kumnunua beki wa Austria na Bayern Munich David Alaba, 28. (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Kitendo cha Biden kusahau jina la Waziri wa Ulinzi na kushindwa kukumbuka jina la Wizara ya Ulinzi (Pentagon), kilikuwa ajenga kuu kwenye vyombo vya habari.
 
Joe Biden alisema,

"Sawa na... Jenerali wa zamani, ninaendelea kumwita jenerali. Mimi, mimi... Lazima tuhakikishe kwamba tunamshukuru mtu mkuu wa ulinzi (Waziri wa Ulinzi) kwa kila kitu alichokifanya."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…