Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo ya Nyungu hayo!
1615344333980.jpeg
 
leo nimeachwa na mpenzi nimpendaye kwa dhati sana bt women why .....kwann hamtosheki mbona mechi napiga mpaka pelee money napeana bila ubahili outing ndo za kutosha but why .......
Pole sana chief,mapenzi ni sawa na jua,kuna muda linamulika mpaka unatamani utoke,na kuna muda linafifia mpaka unalitafuta kwa tochi,likifikia muda wa kupotea ndio kabisaaa.....
Hope mtapata muda wa kuyajenga upya,usiwaze sana ulimfanyia nini,pia waza alipungukiwa/kilipungua nini kwako,utajifunza kikubwa.
 
Back
Top Bottom