Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Arsenal itamsaini aliyekuwa beki wa Aston Villa Jordan Amavi katika uhamisho wa bila malipo mwisho wa msimu wakati kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 itakapokamilika katika klabu ya Marseille. (Star)