Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hasa siku hizi. Jamaa yangu niliongea naye last month huko Dar tukapanga mambo mengi tu tuonane Summer jana namtafuta naambiwa kumbe alishavuta na hii changamoto ya upumuaji. Alikuwa senior commander wa jeshi la Polisi. Extremely sad !!!
Amefanya vyema. Hasa kama naye umri ni mkubwa na/au ana ishu zingine za kiafya. Life is very precious just to gamble it on these nincompoops !!!Pole sana Mkuu hali bado ni tete. Kuna baadhi wanakwepa hata kutia mguu Bongo sasa hivi. Dada mmoja nduguze walikuwa wanataka aende akamuone labda kwa mara ya mwisho kwani mama yao ni mgonjwa mgonjwa na ni mtu mzima sana. Dada kawaambia kwa sasa hawezi kuja labda hadi atakapopata chanjo.
Amefanya vyema. Hasa kama naye umri ni mkubwa na/au ana ishu zingine za kiafya. Life is very precious.
Ushamba MZIGO! View attachment 1720989
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni sana..
Duh.. pole sanaHasa siku hizi. Jamaa yangu niliongea naye last month huko Dar tukapanga mambo mengi tu tuonane Summer jana namtafuta naambiwa kumbe alishavuta na hii changamoto ya upumuaji. Alikuwa senior commander wa jeshi la Polisi. Extremely sad !!!
Safiii[emoji120][emoji120]View attachment 1721128