BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ushamba MZIGO!
Hivi Chris Brown akiona Riri alivyonona hivi haumii?
Kukoroma kwake hapo sipati picha [emoji16][emoji16]
Kukoroma kwake hapo sipati picha [emoji16][emoji16]
Nawasihi mvumuliane na kila mtu apambane kivyake. Hakuna haja ya kutoleana povu bali kila mtu apambane kujilinda yeye na wapendwa wake popote alipo kwa kutegemea mazingira aliyomo na raslimali alizonazo. Mimi nitachanjwa Mei nikiweza kufika huko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yegomasika SHIMBA YA BUYENZE all the best kwa chanjo ya kwanza kisha ya pili naona mirejesho ya wabongo waishio huko tayari wameshapata ila sasa wanachomwa huko povu wanakuja kututolea sie
Hasa siku hizi. Jamaa yangu niliongea naye last month huko Dar tukapanga mambo mengi tu tuonane Summer jana namtafuta naambiwa kumbe alishavuta na hii changamoto ya upumuaji. Alikuwa senior commander wa jeshi la Polisi. Extremely sad !!!
My mind is full of Misambwanda...and that is the problem [emoji16][emoji16][emoji16]