Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1614531301415.jpg
 
Nawasihi mvumuliane na kila mtu apambane kivyake. Hakuna haja ya kutoleana povu bali kila mtu apambane kujilinda yeye na wapendwa wake popote alipo kwa kutegemea mazingira aliyomo na raslimali alizonazo. Mimi nitachanjwa Mei nikiweza kufika huko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wabongo na uvumilivu wapi na wapi yaani zama hizi ndo nimeelewa enzi za ukoloni watu waliishije
 
Manchester City haitafuatilia mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 22, mwisho wa msimu huu kwasababu ya mahitaji ya mshahara ya mchezaji huyo, huku mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20, au mshambuliaji wa Inter Milan na Ubelgiji Romelu Lukaku wakiwa mbadala wake. (The Athletic - subscription required)
 
Back
Top Bottom