Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
umuhimu wa kusona vitabu na makala za kuelimisha,lakini pia tujifunze na kuanza kujisomea vitabu.
1.Unapata kujua mambo mapya.
Kupitia kusoma unapata kujua vitu vipya,taarifa mpya na mbinu mpya za kutatua matatizo Ili uweze kupata yote haya lazima uanze kusoma.
Anza leo jiwekee utaratibu wa kusoma vitabu kila siku lakini pia jiwekee utaratibu wa kusoma makala za kuelimisha kila siku.