2.Ukuaji binafsi.
Kusoma kunakufanya wewe ukue kiakili, unaanza kuielewa dunia taratibu na unaanza kuwa na uelewa mkubwa wa mambo ya muhimu
Kwa mfano;
Unajua umuhimu wa kujiamini,namna ya kutengeneza mipango kabla ya kuchukua hatua,namna ya kukariri mambo vizuri na haraka vitu hivi vyote huanzia kwenye kusoma vitabu. Kupitia kusoma unaelewa njia ya kuendelea mbele na mbinu za kuchukua ili kufikia mafanikio.