Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamekukera wapi, labda uliwafuata mwenyewe huko walipo.
Usiende kwenye majukwaa yao.
Hata hivyo aliye juu mngoje chini[emoji23][emoji23]
Maana hata Livapuu walikukera lakini leo kiko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makelele ya Livapuu mwaka jana jamani sitakaa nisahau. Siku hizi wakifungwa yaani rahaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…