andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji125][emoji125]Woza woza wozaaaaa[emoji1739][emoji1739]
Jumbe?!!! Tungekuwa kule kuna kitu ningeandikaDaemusin nimesoma historia ya upande mmoja ya Maalim Seif Sharrif kutoka kwenye ukurasa wa mkaribu wake Ismail Jussa Ladhu.
Historia hiyo inanifanya niheshimu sana maamuzi ya wanasiasa wa nchi za magharibi.
Na hivyo nazidi kuona vioja vya wanasiasa wa bara la Afrika.
Maalim Seif alikuwa mwanasiasa mzuri zaidi baada kuondoshwa CCM yeye na wenzake mwaka 1988.
Vinginevyo yote aliyopigania baada ya mwaka 1988 mpaka kufa kwake angeweza kuyafanikisha mwaka 1984, kama angekuwa na msimamo wa pamoja na wanasiasa wenzake wa Zanzibar.
Lakini huenda tamaa ya madaraka au kukubali kutumika kumemfikisha alipoishia.
Hata hivyo misimamo yake baada ya kujiunga na upinzani inaonyesha alijutia makosa yake ya mwaka 1984 yaliyomuondoa madarakani mzee Jumbe, kumuinua mzee Mwinyi pamoja na yeye mwenyewe.
Pamoja na kuinuka kwake kisiasa baada vuguvugu la mwaka 1984, lakini hilo limekoleza moto kwenye kile tulichoaminishwa na wanamapinduzi wa Zanzibar kuhusiana na kutoaminika kwa wanasiasa kutoka kisiwa furani katika moja ya visiwa vya nchi hii.
Huenda hilo ndilo lililomkosesha ushindi (Kutotangazwa) kwenye chaguzi kadhaa zilizopita.
Mwenyezi Mungu amsamehe yote aliyokosea kwenye uhai wake.
Amlaze mahali pema peponi.[emoji120][emoji120]
Naliona lijongoo linataka kuingia katikati ya makutano ya "barabara" mbili...
Aisee kuna watu wanga Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makelele ya Livapuu mwaka jana jamani sitakaa nisahau. Siku hizi wakifungwa yaani rahaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Baadhi ya KE wamezidi kusema kweli hadi wanaharibu ladha ya mapenzi na hivyo baadhi ya ME kuamua kuwa wanawakomoa kwa namna mbali mbali. Mie naweza kusema nimebahatika kusema kweli sijawahi kudate wanawake omba omba wa hivyo. Ukigeuka huku ana shida ya laki 3 kesho kutwa anataka laki 5.
Aisee
[emoji120][emoji120][emoji120]Heshima yako mzeeJumbe?!!! Tungekuwa kule kuna kitu ningeandika
Shikamoo jiraniMvua na jua vilikuwepo
Mwaka jana mlizidi aisee. YNWA ilikuwa kila kona na kile kijogoo chenu chekundu chenye utapiamlo [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee kuna watu wanga Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi timu yetu inafungwa[emoji26]Wamekukera wapi, labda uliwafuata mwenyewe huko walipo.
Usiende kwenye majukwaa yao.
Hata hivyo aliye juu mngoje chini[emoji23][emoji23]
Maana hata Livapuu walikukera lakini leo kiko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Jamaa kila siku anawahadithia hadithi mpya [emoji23] [emoji23][emoji23]