Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jumbe?!!! Tungekuwa kule kuna kitu ningeandika
 
Naliona lijongoo linataka kuingia katikati ya makutano ya "barabara" mbili...
Ingia tu jongoo, maisha ni haya haya...
Kwa hiyo rangi yake na wakilimwagia mafuta kidogo tu linapita barabarani kiulainiii...
Raha ya jongoo kuingia barabarani huku likihendemuka na kujimwayamwaya
 
VE Kgothalo unacheka nini? 😜
 
Wamekukera wapi, labda uliwafuata mwenyewe huko walipo.
Usiende kwenye majukwaa yao.
Hata hivyo aliye juu mngoje chini[emoji23][emoji23]
Maana hata Livapuu walikukera lakini leo kiko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi timu yetu inafungwa[emoji26]
Mimi nikigeuka huku Yanga,huku liver[emoji23][emoji23][emoji23]ni maumivu juu ya maumivu [emoji856]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…