Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jizazi...Jongoo. Katikati ya makutano ya barabara mbili. Lugha ya picha. Tasfida. Muktadha...Naliona lijongoo linataka kuingia katikati ya makutano ya "barabara" mbili...
Ingia tu jongoo, maisha ni haya haya...
Kwa hiyo rangi yake na wakilimwagia mafuta kidogo tu linapita barabarani kiulainiii...
Raha ya jongoo kuingia barabarani huku likihendemuka na kujimwayamwaya
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji441][emoji441]Amenitendeaaa... Amenitendeaaa... Emmanuel [emoji350][emoji350][emoji351][emoji445][emoji444][emoji443]
Marahaba jirani...hujamboShikamoo jirani
Duh...Jizazi...Jongoo. Katikati ya makutano ya barabara mbili. Lugha ya picha. Tasfida. Muktadha...
View attachment 1728261
Huyu Jamaa kila siku anawahadithia hadithi mpya [emoji23] [emoji23][emoji23]
SijamboMarahaba jirani...hujambo
Mbona hizi wiki anawaingiza chaka tu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu ndani ya system ambao hawafurahii yanayoendelea hivyo wanampenyezea nyeti kwani hana woga na wamemuamini. Miaka ya nyuma haya wangeyapenyeza hapa JF. [emoji12]
Mbona hizi wiki anawaingiza chaka tu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mmesubiri breaking news hadi mmechoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama anawaingiza chaka Watanzania kwanini Serikali imuhofie hadi kumtangaza hadharani mara kwa mara kwamba siku zake zinahesabika!? [emoji12]
Naona mmesubiri breaking news hadi mmechoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ufipa bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yuko ufipa[emoji14]Huyu si wa ufipa bali mfia nchi [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila yuko ufipa[emoji14]
Karabatini kwanza ofisi yenu ili tuje kuchukua kadi[emoji23]
Yaani ruzuku yote mlitumbua ila pale ufipa panapigwa na nzi tu[emoji14]Hapana aisee hayuko ufipa. Kama kuwa na ofisi kali kuna umuhimu kwa chama basi Kikwete asingethubutu kutamka haya. [emoji12][emoji12][emoji12]
View attachment 1728312
Nzuri jirani..uko kimya sanaSijambo
Habari za miaka jirani
Mimi nipoNzuri jirani..uko kimya sana
Mimi nipo muda wote...usipotee sanaMimi nipo
Wewe tu umenisusa jirani
Pole sana, asavali mimi bana, Livapuu inafungwa Simba inashindaSiku hizi timu yetu inafungwa[emoji26]
Mimi nikigeuka huku Yanga,huku liver[emoji23][emoji23][emoji23]ni maumivu juu ya maumivu [emoji856]
Hata mimi nipo muda woteMimi nipo muda wote...usipotee sana