danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Vumilia jirani usije nitonesha kidondaLambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nmeshayapika
Nangojea sukari ya bwana haijafika
Lambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nmeshayapika
Nangojea sukari ya bwana haijafika
Lambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nmeshayapika
Nangojea sukari ya bwana haijafika
Inamaana owned?Hahhaha subirini majibu yapo wazi
Tumebarikiwa wote babe[emoji8] [emoji8]Uwepo wako kwenye maisha yangu ambao umeletwa na Mungu, nimebarikiwa kuwa na ww carbamazepine [emoji173]
Ndio au alikuja na mpango mwingineUle wa kivunja zizi
Hahahahah...naona unique kajipanga....jana naona alikua na mikwara ya kuvunja mazizi ya watu kama hatumuungi mkono kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...msalimie uniq mwambie akuongezee ulinzi
Ndio mkuu tunamilikiana[emoji125] [emoji125]Naona kauli milikishaji
Eeeeeeh mkuu nammiliki na yy ananimiliki kwa sentesi moja tunapendanaNaona kauli milikishaji
Au kuna babe S mchina?Nilisha kuambia ni ndoto hiyoo
Wacha weeeeAsikupe presha mi ni wako pekeako