ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Woooote
jana naona alikua na mikwara ya kuvunja mazizi ya watu kama hatumuungi mkono kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...msalimie uniq mwambie akuongezee ulinziHabari ya Mimi poa....hahahah uniq mzima kabisa....ho chi minh naona anaingia....Jana ulimisiwa ulivoenda kulala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujui tu alipo
Maana sio kwa ubata wakeKabisa mkuui
Subiri atujibuNa mi napenda kujua pia,
Usitake kunipa presha huwa sipreshiki, azamaye kwangu moyoni huzama mazima, hilo sina shaka tbs ya moyo wangu yalitambua hilo.Hujui tu alipo
Morning BabyUniq Good morning...
[emoji23] [emoji23] yani washa fail kabla hawajaanzaHalafu mchicha Ana Team up na kichwa kichafu lazma afeli tu...